Isaya 26:5
Isaya 26:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa kuwa amewashusha wakaao juu, Mji ule ulioinuka, aushusha, Aushusha hadi chini, auleta hadi mavumbini.
Shirikisha
Soma Isaya 26Isaya 26:5 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa kuwa amewashusha wakaao juu, Mji ule ulioinuka, aushusha, Aushusha hata nchi, auleta hata mavumbini.
Shirikisha
Soma Isaya 26