Isaya 26:8
Isaya 26:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naam, katika njia ya hukumu zako Sisi tumekungoja, Ee BWANA; Shauku ya nafsi zetu inaelekea Jina lako na ukumbusho wako.
Shirikisha
Soma Isaya 26Isaya 26:8 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Naam, katika njia ya hukumu zako Sisi tumekungoja, Ee BWANA; Shauku ya nafsi zetu inaelekea Jina lako na ukumbusho wako.
Shirikisha
Soma Isaya 26