Isaya 26:9
Isaya 26:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa nafsi yangu nimekutamani wakati wa usiku; Naam, kwa nafsi yangu ndani yangu nitakutafuta mapema; Maana hukumu zako zikiwapo duniani, Watu wakaao duniani hujifunza haki.
Shirikisha
Soma Isaya 26Isaya 26:9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Isaya 26