Isaya 29:13
Isaya 29:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Bwana asema, “Watu hawa huja kuniabudu kwa maneno matupu, hali mioyo yao iko mbali nami. Wananiheshimu kulingana na mapokeo ya watu tu, jambo walilojifunza wao wenyewe.
Shirikisha
Soma Isaya 29Isaya 29:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Bwana akanena, Kwa kuwa watu hawa hunikaribia na kuniheshimu kwa vinywa vyao, bali mioyo yao wamefarakana nami, na kicho chao walichonacho kwangu ni maagizo ya wanadamu waliyofundishwa
Shirikisha
Soma Isaya 29