Isaya 30:1
Isaya 30:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Ole wao watoto wanaoniasi, wanaotekeleza mipango yao na si mipango yangu, wanaofanya mikataba kinyume cha matakwa yangu! Naam, wanarundika dhambi juu ya dhambi.
Shirikisha
Soma Isaya 30Isaya 30:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ole wa watoto waasi; asema BWANA; watakao mashauri lakini hawayataki kwangu mimi; wajifunikao kifuniko lakini si cha roho yangu; wapate kuongeza dhambi juu ya dhambi
Shirikisha
Soma Isaya 30