Isaya 30:15
Isaya 30:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Bwana Mungu, Mtakatifu wa Israeli, asema: “Mkinirudia na kutulia mtaokolewa; kwa utulivu na kunitumainia mtapata nguvu.” Lakini nyinyi hamkutaka.
Shirikisha
Soma Isaya 30Isaya 30:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana Bwana MUNGU, Mtakatifu wa Israeli, asema hivi, Kwa kurudi na kustarehe mtaokolewa; nguvu zenu zitakuwa katika kutulia na kutumaini; lakini hamkukubali.
Shirikisha
Soma Isaya 30