Isaya 30:19
Isaya 30:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Enyi watu wa Siyoni, enyi watu wa Yerusalemu, hakika nyinyi hamtaomboleza tena. Kweli Mungu atawahurumia; mara tu atakaposikia kilio chenu atawaitikeni.
Shirikisha
Soma Isaya 30Isaya 30:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana watu watakaa katika Sayuni huko Yerusalemu; wewe hutalia tena; hakika yake atakuonea rehema nyingi kwa sauti ya kilio chako; asikiapo ndipo atakapokujibu.
Shirikisha
Soma Isaya 30