Isaya 30:20
Isaya 30:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Ingawa Bwana atawalisha taabu na kuwanywesha dhiki, yeye ndiye Mwalimu wenu na hatajificha tena; nanyi mtamwona kwa macho yenu wenyewe.
Shirikisha
Soma Isaya 30Isaya 30:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na ingawa Bwana atawapeni chakula cha shida na maji ya msiba, lakini waalimu wako hawatafichwa tena, ila macho yako yatawaona waalimu wako
Shirikisha
Soma Isaya 30