Isaya 30:21
Isaya 30:21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
na masikio yako yatasikia neno nyuma yako, likisema, Njia ni hii, ifuateni; mgeukapo kwenda mkono wa kulia, na mgeukapo kwenda mkono wa kushoto.
Shirikisha
Soma Isaya 30Isaya 30:21 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Mkigeuka kuume au kushoto, masikio yenu yatasikia sauti nyuma yenu ikisema, “Hii ndiyo njia, ifuateni.”
Shirikisha
Soma Isaya 30