Isaya 31:2
Isaya 31:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu ni mwenye busara na huleta maangamizi. Habadilishi tamko lake; ila yuko tayari kuwakabili watu waovu kadhalika na wasaidizi wa watendao mabaya.
Shirikisha
Soma Isaya 31Isaya 31:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini yeye naye ana akili, naye ataleta uovu, wala hatayatangua maneno yake; bali ataondoka juu ya nyumba yao watendao mabaya, na juu ya msaada wa hao watendao maovu.
Shirikisha
Soma Isaya 31