Isaya 32:17
Isaya 32:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Kutokana na uadilifu watu watapata amani, utulivu na usalama utadumu milele.
Shirikisha
Soma Isaya 32Isaya 32:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na kazi ya haki itakuwa amani; na mazao ya haki yatakuwa ni utulivu na matumaini daima.
Shirikisha
Soma Isaya 32Isaya 32:17 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Na kazi ya haki itakuwa amani; na mazao ya haki yatakuwa ni utulivu na matumaini daima.
Shirikisha
Soma Isaya 32