Isaya 32:18
Isaya 32:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Watu wangu watakaa katika makao ya amani, katika maskani salama na mazingira matulivu.
Shirikisha
Soma Isaya 32Isaya 32:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na watu wangu watakaa katika makao ya amani; na katika maskani zilizo salama, na katika mahali pa kupumzikia penye utulivu.
Shirikisha
Soma Isaya 32