Isaya 33:22
Isaya 33:22 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa maana BWANA ndiye mwamuzi wetu; BWANA ndiye mfanya sheria wetu; BWANA ndiye mfalme wetu; ndiye atakayetuokoa.
Shirikisha
Soma Isaya 33Isaya 33:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana Mwenyezi-Mungu ni hakimu wetu, yeye ni mtawala wetu; Mwenyezi-Mungu ni mfalme wetu, yeye ndiye anayetuokoa.
Shirikisha
Soma Isaya 33