Isaya 33:6
Isaya 33:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nyakati zako zitakuwa nyakati za kukaa imara; za wokovu tele na hekima na maarifa; kumcha BWANA ni hazina yake ya akiba.
Shirikisha
Soma Isaya 33Isaya 33:6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nyakati zako zitakuwa nyakati za kukaa imara; za wokovu tele na hekima na maarifa; kumcha BWANA ni hazina yake ya akiba.
Shirikisha
Soma Isaya 33