Isaya 34:16
Isaya 34:16 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Tafuteni katika kitabu cha BWANA mkasome; hapana katika hao wote atakayekosa kuwapo, hapana mmoja atakayemkosa mwenzake; kwa maana kinywa changu kimeamuru, na roho yake imewakusanya.
Shirikisha
Soma Isaya 34Isaya 34:16 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Angalieni katika gombo la BWANA na msome: Hakuna hata mmoja katika hawa atakayekosekana, hakuna hata mmoja atakayemkosa mwenzi wake. Kwa kuwa ni kinywa chake Mungu kimeagiza, na Roho wake atawakusanya pamoja.
Shirikisha
Soma Isaya 34