Isaya 36:1
Isaya 36:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Mnamo mwaka wa kumi na nne wa utawala wa mfalme Hezekia, mfalme Senakeribu wa Ashuru aliishambulia miji yote yenye ngome ya Yuda na kuiteka.
Shirikisha
Soma Isaya 36Isaya 36:1 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Katika mwaka wa kumi na nne wa utawala wa Mfalme Hezekia, Senakeribu mfalme wa Ashuru akaishambulia miji yote ya Yuda yenye ngome na kuiteka.
Shirikisha
Soma Isaya 36