Isaya 36:20
Isaya 36:20 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Ni yupi miongoni mwa miungu yote ya nchi hizi ameweza kuokoa nchi yake mkononi mwangu? Inawezekanaje basi BWANA aiokoe Yerusalemu mkononi mwangu?”
Shirikisha
Soma Isaya 36Isaya 36:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Ni nani miongoni mwa miungu ya nchi hizi aliyeokoa nchi zao katika mkono wangu, hata iwe kwamba Mwenyezi-Mungu ataweza kuuokoa mji wa Yerusalemu mkononi mwangu?”
Shirikisha
Soma Isaya 36