Isaya 36:21
Isaya 36:21 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Lakini wale watu wakakaa kimya, wala hawakujibu lolote, kwa kuwa mfalme alikuwa amewaamuru, “Msimjibu lolote.”
Shirikisha
Soma Isaya 36Isaya 36:21 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini watu walinyamaza, wala hawakumjibu neno kama vile walivyoamriwa na mfalme akisema, “Msimjibu.”
Shirikisha
Soma Isaya 36