Isaya 36:7
Isaya 36:7 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Lakini ukiniambia, Tunamtumaini BWANA, Mungu wetu, je! Si yeye ambaye Hezekia ameondoa mahali pake mlimoinuka, na madhabahu zake, akawaambia watu wa Yuda na Yerusalemu, Sujuduni mbele ya madhabahu hii?
Shirikisha
Soma Isaya 36Isaya 36:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini hata kama mkiniambia, ‘Tunamtegemea Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu,’ je, si huyohuyo ambaye Hezekia aliziharibu madhabahu zake na kuwaambia watu wa Yuda na Yerusalemu, ‘Mnapaswa kuabudu mbele ya madhabahu hii?’
Shirikisha
Soma Isaya 36