Isaya 37:16
Isaya 37:16 Biblia Habari Njema (BHN)
“Ee Mwenyezi-Mungu wa majeshi, Mungu wa Israeli, unayeketi katika kiti cha enzi juu ya viumbe wenye mabawa. Wewe ndiwe uliyeumba mbingu na dunia.
Shirikisha
Soma Isaya 37Isaya 37:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ee BWANA wa majeshi, Mungu wa Israeli, ukaaye juu ya makerubi, wewe, naam, wewe peke yako, ndiwe Mungu wa falme zote za dunia. Wewe ndiwe uliyeziumba mbingu na nchi.
Shirikisha
Soma Isaya 37