Isaya 37:20
Isaya 37:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Sasa ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, utuokoe makuchani mwa Senakeribu, ili falme zote za dunia zijue kwamba wewe peke yako ndiwe uliye Mwenyezi-Mungu.”
Shirikisha
Soma Isaya 37Isaya 37:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi sasa, BWANA, Mungu wetu, utuokoe kutoka kwa mkono wake, falme zote za dunia zipate kujua ya kuwa wewe ndiwe BWANA, wewe peke yako.
Shirikisha
Soma Isaya 37