Isaya 40:22
Isaya 40:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Dunia iliumbwa na huyo aketiye juu ya mbingu; kutoka huko wakazi wa dunia ni kama panzi! Yeye amezitandaza mbingu kama pazia, na kuzikunjua kama hema la kuishi.
Shirikisha
Soma Isaya 40Isaya 40:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yeye ndiye anayeketi juu ya duara ya dunia, na hao wanaokaa ndani yake huwa kama panzi; yeye ndiye azitandazaye mbingu kama pazia na kuzikunjua kama hema ya kukaliwa
Shirikisha
Soma Isaya 40