Isaya 40:30 - Linganisha Matoleo Yote
Isaya 40:30 BHN (Biblia Habari Njema)
Hata vijana watafifia na kulegea; naam, wataanguka kwa uchovu.
Shirikisha
Isaya 40 BHNIsaya 40:30 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata vijana watazimia na kuchoka, na wanaume vijana wataanguka
Shirikisha
Isaya 40 SUVIsaya 40:30 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Hata vijana watazimia na kuchoka, na vijana wanaume wataanguka
Shirikisha
Isaya 40 SRUVIsaya 40:30 NEN (Neno)
Hata vijana huchoka na kulegea, nao vijana wanaume hujikwaa na kuanguka
Shirikisha
Isaya 40 NEN