Isaya 40:5
Isaya 40:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha utukufu wa Mwenyezi-Mungu utafunuliwa, na watu wote pamoja watauona. Mwenyezi-Mungu mwenyewe ametamka hayo.”
Shirikisha
Soma Isaya 40Isaya 40:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na utukufu wa BWANA utafunuliwa, Na watu wote watauona pamoja; Kwa kuwa kinywa cha BWANA kimenena haya.
Shirikisha
Soma Isaya 40