Isaya 41:10
Isaya 41:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
usiogope, kwa maana mimi ni pamoja nawe; usifadhaike, kwa maana mimi ni Mungu wako; nitakutia nguvu, naam, nitakusaidia, naam, nitakushika kwa mkono wa kulia wa haki yangu.
Shirikisha
Soma Isaya 41Isaya 41:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, usiogope, mimi nipo pamoja nawe. Usifadhaike, mimi ni Mungu wako. Nitakuimarisha na kukusaidia; nitakulinda kwa mkono wangu wa ushindi.
Shirikisha
Soma Isaya 41Isaya 41:10 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
usiogope, kwa maana mimi ni pamoja nawe; usifadhaike, kwa maana mimi ni Mungu wako; nitakutia nguvu, naam, nitakusaidia, naam, nitakushika kwa mkono wa kuume wa haki yangu.
Shirikisha
Soma Isaya 41