Isaya 41:12
Isaya 41:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Utawatafuta wala hutawaona wale wapiganao nawe; watakuwa si kitu; watakuwa kama kitu kisichokuwa, wale waliofanya vita juu yako.
Shirikisha
Soma Isaya 41Isaya 41:12 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Utawatafuta wala hutawaona wale wapiganao nawe; watakuwa si kitu; watakuwa kama kitu kisichokuwa, wale waliofanya vita juu yako.
Shirikisha
Soma Isaya 41