Isaya 41:13
Isaya 41:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, ndimi ninayetegemeza mkono wako. Mimi ndimi ninayekuambia: ‘Usiogope, nitakusaidia.’”
Shirikisha
Soma Isaya 41Isaya 41:13 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa maana mimi, BWANA, Mungu wako, nitakushika mkono wako wa kuume, nikikuambia, Usiogope; mimi nitakusaidia.
Shirikisha
Soma Isaya 41Isaya 41:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana mimi, BWANA, Mungu wako, nitakushika mkono wako wa kulia, nikikuambia, Usiogope; mimi nitakusaidia.
Shirikisha
Soma Isaya 41