Isaya 41:14
Isaya 41:14 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Usiogope, Yakobo uliye mdudu, nanyi watu wa Israeli; mimi nitakusaidia, asema BWANA, na mkombozi wako ni Mtakatifu wa Israeli.
Shirikisha
Soma Isaya 41Isaya 41:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Enyi watu wa Yakobo dhaifu kama mdudu, enyi Waisraeli, msiogope! Mimi Mwenyezi-Mungu nasema nitawasaidia. Mimi ni Mkombozi wenu, Mtakatifu wa Israeli.
Shirikisha
Soma Isaya 41