Isaya 41:18
Isaya 41:18 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nitafunua vijito vya maji juu ya vilima, na chemchemi katikati ya mabonde; nitageuza jangwa kuwa ziwa la maji, na mahali pakavu kuwa vijito vya maji.
Shirikisha
Soma Isaya 41Isaya 41:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitabubujisha mito kwenye milima mikavu, na chemchemi katika mabonde. Nitaigeuza nyika kuwa bwawa la maji, na nchi kame kuwa chemchemi za maji.
Shirikisha
Soma Isaya 41