Isaya 43:13
Isaya 43:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Mimi ni Mungu na nitakuwa Mungu daima. Hakuna awezaye kuiepa nguvu yangu; hakuna awezaye kupinga ninayofanya.”
Shirikisha
Soma Isaya 43Isaya 43:13 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Naam, tangu siku za kale, Mimi ndiye. Hakuna hata mmoja awezaye kuokoa kutoka mkononi wangu. Mimi ninapotenda, ni nani awezaye kutangua?”
Shirikisha
Soma Isaya 43