Isaya 43:18-19
Isaya 43:18-19 Biblia Habari Njema (BHN)
‘Msiyanganganie mambo yaliyopita, wala msifikirie vitu vya zamani. Tazameni, mimi ninafanya kitu kipya. Kinafanyika sasa hivi, nanyi mtaweza kukiona. Nitafanya njia nyikani, na kububujisha mito jangwani.
Shirikisha
Soma Isaya 43Isaya 43:18-19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Msiyakumbuke mambo ya kwanza, wala msiyatafakari mambo ya zamani. Tazama, nitatenda neno jipya; sasa litachipuka; je! Hamtalijua sasa? Nitafanya njia hata jangwani, na mito ya maji nyikani.
Shirikisha
Soma Isaya 43Isaya 43:18-19 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Msiyakumbuke mambo ya kwanza, wala msiyatafakari mambo ya zamani. Tazama, nitatenda neno jipya; sasa litachipuka; je! Hamtalijua sasa? Nitafanya njia hata jangwani, na mito ya maji nyikani.
Shirikisha
Soma Isaya 43