Isaya 43:2
Isaya 43:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Mkipita katika mafuriko, mimi nitakuwa pamoja nanyi; mkipita katika mito, haitawashinda nguvu. Mkitembea katika moto, hamtaunguzwa; mwali wa moto hautawaunguza.
Shirikisha
Soma Isaya 43Isaya 43:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Upitapo katika maji mengi nitakuwa pamoja nawe; na katika mito, haitakugharikisha; uendapo katika moto, hutateketea; wala mwali wa moto hautakuunguza.
Shirikisha
Soma Isaya 43Isaya 43:2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Upitapo katika maji mengi nitakuwa pamoja nawe; na katika mito, haitakugharikisha; uendapo katika moto, hutateketea; wala mwali wa moto hautakuunguza.
Shirikisha
Soma Isaya 43