Isaya 43:25
Isaya 43:25 Biblia Habari Njema (BHN)
Walakini mimi ndimi niliyefuta makosa yenu kwa heshima yangu, ndimi niyafutaye makosa kwa ajili yangu mwenyewe, na wala sitazikumbuka dhambi zenu.
Shirikisha
Soma Isaya 43Isaya 43:25 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
“Mimi, naam mimi, ndimi nizifutaye dhambi zako, kwa ajili yangu mwenyewe, wala sizikumbuki dhambi zako tena.
Shirikisha
Soma Isaya 43