Isaya 43:3
Isaya 43:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, Mungu Mtakatifu wa Israeli, Mwokozi wenu. Nitaitoa nchi ya Misri iwe fidia yenu, nitaitoa Kushi na Seba ili mwachwe huru.
Shirikisha
Soma Isaya 43Isaya 43:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana mimi ni BWANA, Mungu wako; Mtakatifu wa Israeli, Mwokozi wako, nimetoa Misri kuwa ukombozi wako; nimetoa Kushi na Seba kwa ajili yako.
Shirikisha
Soma Isaya 43