Isaya 43:4
Isaya 43:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa vile mna thamani mbele yangu, kwa kuwa nimewapa hadhi na kuwapenda, mimi nawaacha watu kusudi niwapate nyinyi, nayaachilia mataifa badala ya maisha yenu.
Shirikisha
Soma Isaya 43Isaya 43:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa kuwa ulikuwa wa thamani machoni pangu, na mwenye kuheshimiwa, nami nimekupenda; kwa sababu hiyo nitatoa watu kwa ajili yako; na makabila ya watu kwa ajili ya maisha yako.
Shirikisha
Soma Isaya 43