Isaya 43:5
Isaya 43:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Msiogope maana mimi nipo pamoja nanyi. “Nitawarudisha wazawa wenu toka mashariki, nitawakusanyeni kutoka magharibi.
Shirikisha
Soma Isaya 43Isaya 43:5 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Usiogope, kwa kuwa mimi nipo pamoja nawe, nitawaleta watoto wako kutoka mashariki, na kukukusanya kutoka magharibi.
Shirikisha
Soma Isaya 43