Isaya 44:2
Isaya 44:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Mimi, Mwenyezi-Mungu Muumba wako, niliyekufanya tangu tumboni mwa mama yako, nimekuja kukusaidia wewe. Mimi Mwenyezi-Mungu nasema: Usiogope, ewe taifa la Yakobo, mtumishi wangu, naam, usiogope ewe Yeshuruni mteule wangu.
Shirikisha
Soma Isaya 44Isaya 44:2 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Hili ndilo asemalo BWANA, yeye aliyekuhuluku, aliyekuumba tumboni, yeye atakayekusaidia: Usiogope, ee Yakobo, mtumishi wangu, Yeshuruni, niliyekuchagua.
Shirikisha
Soma Isaya 44