Isaya 44:22
Isaya 44:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Nimeyafagilia mbali makosa yako kama wingu, nimezifanya dhambi zako zitoweke kama ukungu. Rudi kwangu maana mimi nimekukomboa.”
Shirikisha
Soma Isaya 44Isaya 44:22 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Nimeyafuta makosa yako kama wingu, dhambi zako kama ukungu wa asubuhi. Nirudie mimi, kwa kuwa nimekukomboa wewe.”
Shirikisha
Soma Isaya 44