Isaya 44:3
Isaya 44:3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa maana nitamimina maji juu yake aliye na kiu, na vijito vya maji juu ya mahali pakavu; nitamwaga roho yangu juu ya wazao wako, na baraka yangu juu yao utakaowazaa
Shirikisha
Soma Isaya 44Isaya 44:3 Biblia Habari Njema (BHN)
“Nitaimwagilia maji nchi iliyokauka, na kutiririsha mto katika nchi kame. Nitawamiminia roho yangu wazawa wako, nitawamwagia watoto wako baraka yangu.
Shirikisha
Soma Isaya 44