Isaya 44:6
Isaya 44:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu, Mfalme na Mkombozi wa Israeli, naam, Mwenyezi-Mungu wa majeshi asema hivi: “Mimi ni wa kwanza na wa mwisho; hakuna Mungu mwingine ila mimi.
Shirikisha
Soma Isaya 44Isaya 44:6 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
“Hili ndilo asemalo BWANA, Mfalme wa Israeli na Mkombozi, BWANA Mwenye Nguvu Zote: Mimi ni wa kwanza na Mimi ni wa mwisho; zaidi yangu hakuna Mungu.
Shirikisha
Soma Isaya 44