Isaya 45:1
Isaya 45:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu asema hivi juu ya Koreshi: “Wewe ni mfalme wangu niliyekuteua; mimi naitegemeza nguvu yako ili uyashinde mataifa mbele yako, na kuzivunja nguvu za wafalme. Mimi nayafungua malango ya mji mbele yako, na hakuna lango litakalofungwa.
Shirikisha
Soma Isaya 45Isaya 45:1 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Haya ndiyo BWANA amwambiayo Koreshi, masihi wake, ambaye nimemshika mkono wake wa kuume, ili kutiisha mataifa mbele yake, nami nitalegeza viuno vya wafalme; ili kufungua milango mbele yake, hata malango hayatafungwa.
Shirikisha
Soma Isaya 45