Isaya 45:2
Isaya 45:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Mimi nitakutangulia, na kuisawazisha milima mbele yako. Nitaivunjavunja milango ya shaba, na kuvikatakata vizuizi vyake vya chuma.
Shirikisha
Soma Isaya 45Isaya 45:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nitakwenda mbele yako, na kupasawazisha mahali palipoparuza; nitavunja vipande vipande milango ya shaba, na kukatakata mapingo ya chuma
Shirikisha
Soma Isaya 45