Isaya 46:3
Isaya 46:3 Biblia Habari Njema (BHN)
“Sikilizeni enyi wazawa wa Yakobo, nisikilizeni enyi mabaki ya watu wangu wa Israeli. Mimi niliwatunzeni tangu mlipozaliwa; niliwabebeni tangu tumboni mwa mama yenu.
Shirikisha
Soma Isaya 46Isaya 46:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nisikilizeni, enyi wa nyumba ya Yakobo, ninyi mlio mabaki ya nyumba ya Israeli, mliochukuliwa nami tangu tumboni, mlioinuliwa tangu mimbani
Shirikisha
Soma Isaya 46