Isaya 46:4
Isaya 46:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Mimi ni yuleyule hata katika uzee wenu; hata katika uzee wenu mimi nitawabeba. Nilifanya hivyo kwanza, nitafanya hivyo tena. Nitawabeba nyinyi na kuwaokoa.
Shirikisha
Soma Isaya 46Isaya 46:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
na hata uzee wenu mimi ndiye, na hata wakati wenu wa mvi nitawachukueni; nimefanya, nami nitachukua; naam, nitachukua na kuokoa.
Shirikisha
Soma Isaya 46