Isaya 46:9
Isaya 46:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Kumbukeni mambo niliyotenda hapo kale! Mimi ndimi Mungu na hakuna mwingine; naam, mimi ni Mungu, wala hakuna mwingine kama mimi.
Shirikisha
Soma Isaya 46Isaya 46:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
kumbukeni mambo ya zamani za kale; maana mimi ni Mungu, wala hapana mwingine; mimi ni Mungu, wala hapana aliye kama mimi
Shirikisha
Soma Isaya 46