Isaya 47:13
Isaya 47:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Umechoka kwa wingi wa mashauri yako; basi, na wasimame hao wanajimu, wazitazamao nyota, watabirio kila mwezi mambo ya mwezi huo, wakakuokoe kutoka kwa mambo yatakayokupata.
Shirikisha
Soma Isaya 47Isaya 47:13 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Umechoka kwa wingi wa mashauri yako; basi, na wasimame hao wajuao falaki, wazitazamao nyota, watabirio kila mwezi mambo ya mwezi huo, wakakuokoe na mambo yatakayokupata.
Shirikisha
Soma Isaya 47