Isaya 47:14
Isaya 47:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tazama, watakuwa kama mabua makavu; moto utawateketeza; hawatajiokoa kutoka kwa nguvu za muali wa moto; hili halitakuwa kaa la kujipasha moto, wala moto wa kuota.
Shirikisha
Soma Isaya 47Isaya 47:14 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Tazama, watakuwa kama mabua makavu; moto utawateketeza; hawatajiokoa na nguvu za mwali wa moto; hautakuwa kaa la kukota moto, wala moto wa kukaa karibu nao.
Shirikisha
Soma Isaya 47