Isaya 49:13
Isaya 49:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Imbeni, enyi mbingu; ufurahi, Ee nchi; Pazeni sauti ya kuimba, enyi milima; Kwa kuwa BWANA amewafariji watu wake, Naye atawahurumia watu wake walioteswa.
Shirikisha
Soma Isaya 49Isaya 49:13 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Isaya 49