Isaya 49:15
Isaya 49:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Je! Mwanamke aweza kumsahau mtoto wake anyonyaye, hata asimhurumie mwana wa tumbo lake? Naam, hawa waweza kusahau, lakini mimi sitakusahau wewe.
Shirikisha
Soma Isaya 49Isaya 49:15 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Isaya 49