Isaya 49:25
Isaya 49:25 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naam, BWANA asema hivi, Hata mateka wake aliye hodari watapokonywa mikononi mwake, na mateka wake aliye katili wataokoka; kwa maana nitapambana na yeye abishanaye nawe, nami nitawaletea wana wako wokovu.
Shirikisha
Soma Isaya 49Isaya 49:25 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Naam, BWANA asema hivi, Hata jeshi la wafungwa wake aliye hodari watapokonywa mikononi mwake, na mateka yake aliye jabari wataokoka; kwa maana nitateta na yeye atetaye nawe, nami nitawaletea wana wako wokovu.
Shirikisha
Soma Isaya 49